Tuesday, March 24, 2015

USIHOFU JUU YA AHADI ALIZOZITOA KWA WATANZANIA...


'Rais Jakaya Kikwete amesema atahakikisha kabla ya kumaliza muda wake wa uongozi anatimiza ahadi alizozitoa ili kumpungumzia kazi Rais ajaye na kuongeza kama kutakuwa kuna mambo yamebaki atayakabidhi kwa mrithi wake hivyo wananchi wasiwe na wasi wasi.

Wewe kama mwananchi, nini maoni yako juu ya hili?'
Rais Jakaya Kikwete amesema atahakikisha kabla ya kumaliza muda wake wa uongozi anatimiza ahadi alizozitoa ili kumpungumzia kazi Rais ajaye na kuongeza kama kutakuwa kuna mambo yamebaki atayakabidhi kwa mrithi wake hivyo wananchi wasiwe na wasi wasi.
Wewe kama mwananchi, nini maoni yako juu ya hili?

No comments: