Tuesday, July 13, 2010

Hawa ndo wataalam wa Internet TR5 wakiwa na Ticha Dullah


Hebu muone Ericah alivyotulia kumsikiliza Ticha Dullah a.k.a "BIG Popa"


Hapa sijui Dorcas anawaza nini, labda mwenyewe atuambie!


Huyu ni Jesca(Kushoto), amepiga pozi la kufa mtu ati, si mchezo!

No comments: