Kama Samaki vile
Hapa kama Keki
Hapa kama coneflower
Hapa eleza wewe, je kama nini?
Hapa Samaki anavuta hewa juu ya maji
Hapa kama vindege katika kiota
Hapa kama trophy!
Hapa kama mcheza Kriketi
Hapa juu kuna Nanasi
Hapa kama mwendesha Baiskeli
Hapa kama mpiga filimbi
Hapa kama ua linachanua
Hapa kama jamaa anacheka
Hapa kama Bundi
Hapa kama Moyo
Huyu katoa mimacho hiyo du! Kumbuka ni tikiti hilo limechongwa!
Hapa kama tai ndogo ya shingoni
Hapa kichwa cha Swala Pala
Hapa kama Chura
Hapa ni Bwana Mandevu
No comments:
Post a Comment