Monday, December 5, 2011

Mr. Ebbo ndo anazikwa sasa hivi huko Arusha



Msanii Mr Ebbo ambae alipata umaarufu kwa stile yake ya kuimba kwa lafudhi ya kimasai, ndio anazikwa sasa hivi nyumbani kwao Masai Camp Arusha.

No comments: