Tuesday, December 6, 2011

Waumini wa Buddha wakusanyika huko Gurupura India kumuona kiongozi wao Dalai Lama

Waumini wakiwa katika mkao wa heshima kwa kiongozi wao wa kiroho wa ki-Tibeti Dalai Lama (Hayupo Pichani) wakati akiwasili kutoa mafundisho Jumatatu wiki hii huko India

 Watawa wa ki-Tibeti wakiwasili kumsikiliza kiongozi wao wa kiroho Dalai Lama huko Gyurmei Tantric Monastery katika Gurupura jimbo la Karnataka nchini India
Kiongozi wa kiroho wa ki-Tibeti Dalai Lama akiwasalimu waumuni kabla hajatoa mafundisho siku hiyo.

No comments: