Tuesday, January 3, 2012

Askari wapambana na wanachi huko Cambodia katika mgogoro wa ardhi

Askari wa kutuliza ghasia akiwafyatulia wananchi gesi ya kutoa machozi wakati wa zoezi la kuwahamisha wavamizi hao wa ardhi katika kitongoji cha Borei Keila mjini Phnom Pehn leo Jan 3, 2012

Mama akilia wakati Katapila likibomoa nyumba yake

Dada huyu nae akishuhudia kubomolewa kwa nyumba hizo akiwa hana cha kufanya

Askari wa kutuliza fijo nae hakuwa nyuma, hapa akiwatupia mawe wananchi

No comments: