Friday, January 13, 2012

Kijana mdogo ambaye ni tajiri sana

Hii ndio nyumba ya Justine Bieber mwanamuziki mzaliwa wa Canada

Muonekano wa bafuni kwake

Dining na Sitting room si mchezo ati
 Kwa habari ya usafiri ona hapa chini
Sean Kingston akiwa amepewa 'lift' na Bieber ndani ya TURBO PORSCHE

Range Rover-Vogue Sport-SE
Sport car inayofunguka kwa nyuma juupamoja na kuwa na umri wa miaka 17 tu, hii ni sehem ya utajiri wa mwimbaji Justine Bieber mzaliwa wa CANADA mwenye mashabiki milioni 16 na laki tatu kwenye twitter. 

No comments: