Friday, January 6, 2012

Moto wa misituni waua watu 5 huko Chile

Wazima moto na waokoaji watafuta miili ya watu waliteketezwa katika moto huo huko Carahue kusini mwa nchi ya Chile jana January 05, 2012. Karibu mioto 50 ya aina hio imeibuka nchini humo ikiharibu mamia ya nyumba na kulazimisha melfu ya watu kuhama makazi yao, pia kuleta hasara ya mamilioni ya dola katika sekta za utalii, misitu na uchumi wa Chile kwa ujumla

Moto wa misituni ukiwa umechachamaa, hapa ni moshi wake na ndio huu unaua haraka kwa kumfanya mtu ashindwe kupumua

Timu ya waokoaji wakipita katika msitu ulioteketea huku wakiwa wamebea miili ya waokoaji wenzao waliokufa kwa kuzidiwa na moto huo.

No comments: