Friday, January 6, 2012

Polisi wawaondoa wakazi waliovamia eneo huko Paraguay

Mmoja wa watu wa jamii ndogo ya "Ava Guarani" akipelekwa mzobemzobe na askari wanaowaondoa wavamizi wa maeneo huko Asuncion Paraguay jana Alhamisi January 5, 2012. Sehemu kubwa ya jamii hio ya "Ava Guarani" walivamia eneo hilo na kutaka msaada wa serikali.

No comments: