Friday, January 13, 2012

Ubaguzi wa Rangi ni UPUMBAVU

Bango linaloonesha "Weupe Tu" likiwa limening'inizwa katika uzio wa bwawa la kuogelea huko Cincinnati kama lilivyoonwa na mwandishi wa habai wa Reuters jana January 12, 2012. Tume ya Haki za binadamu ya jimbo hilo ilimkuta hatia mwana mama anaemiliki bwawa hilo kwa kushabikia ubaguzi.

No comments: