Monday, January 23, 2012

Usifikiri ametiwa mbaroni, HAPANA bali hio ndio HESHIMA

Kiongozi mpya wa Korea ya kaskazini Kim Jong Un, akiwa amesindikiwa KWA HESHIMA KUBWA na askari wa jeshi la nchi hiyo alipotembelea taasisi ya KPA unit, haikusemwa tukio hilo lilikua lini. Du ni usalama au hofu hadi wakaficha taarifa muhimu kama hiyo? Mi sijui aisee! ila picha hiyo imetolewa leo Jumatau Januari 23, 2012 na Korea Central New Agency.

No comments: