Dikteta wa zamani wa nchi ya Guatemala Efrain Rios Montt afikishwa mahakamani kwa mauaji ya kimbali aliyofanya wakati akitawala nchi hiyo
![]() |
Diktetea huyo akiwa mesimama katikati ya askari wa usalama wakati wa usikilizaji wa kesi yake jana Alhamisi Januari 26, 2012 |
![]() |
Baadhi ya ndugu wa watu walioawa wakati wa utawala wa dikteta huyo, wakisikiliza kesi hiyo |
![]() |
Bango kubwa lenye baadhi ya picha za watu waliopotea na yaaminika waliuawa na dikteta huyo Efrain Rios Montt |
No comments:
Post a Comment