Baada ya kufunga vifaa, mafunzo ya msingi kuhusu utumiaji yalianza na hayo ndio materials yenyewe. |
Mkufunzi wetu Mr. Isaac Rodgers kutoka Emec Engineering Ltd akielekeza jinsi ya kuunganisha "CODEC" na vifaa vingine |
Taswira ya baadhi ya wafanyakazi wa Arusha waliokuwepo darasani-TR 2, wakionekana katika mitambo hio-Kumradhi picha si nzuri sana! |
No comments:
Post a Comment