Tuesday, February 14, 2012

Helikopta yawapelekea misaada waliozingirwa na barafu huko Serbia

Helikopta ja polisi wa Serbia ikigawa misaada kwa mabaharia waliokwama katika barafu kali ndani ya mto Danube karibu na  Smederevo. Hali ni mbaya sana kwa baridi.

No comments: