Monday, February 13, 2012

Katikati ya shida jamaa anajipongeza kwa sigara, bora angekunywa maji!

Mpalestina huyu akivuta sigara kujipongeza mbele ya jengo lililobomolewa na makombora ya Isreali huko ukanda wa Gaza jana Jumapili Februari 12,2012.

No comments: