Askari wa vikosi vya kuzima moto wakiwa kazini wakati walipokuwa wakizima moto kiwandani hapo |
Hiki ndiyo kiwanda chenyewe kama kinavyoonekana kikiwa kimeteketea kabisa |
Magari ya vikosi vya kuzima moto yakiwa yamejipanga katika kiwanda hicho yakiendelea na kazi ya kuzima moto |
Askari wa kikosi cha kuzima moto wakizima moto huo |
kiwanda hicho kimeteketea kabisa kwa moto kutokana na mlipuko uliotokea kwenye mashine za kunolea visu vya kukata magodoro kiwandani hapo, Kamanda Misime amesema hakuna taarifa ya mtu yeyote kupoteza maisha wala kujeruhiwa katika tukio hilo la moto
Watu mbalimbali wakiangalia tukio hilo |
Hawani baadhi raia wa kigeni ambao ni wafanyakzi wa viwanda vya jirani na kiwanda hicho |
No comments:
Post a Comment