This blog is for critical thinkers, people with open mind, ready to accept criticisms and work on them. Sharing the know-how, skills and experiences of Life and Technology at large. You are warmly welcome!!
----------------------------------------------------
Blogu hii ni kwa ajili ya wenye fikra makini wapendao kupokea na kufanyia kazi ukosoaji. Walio na mtazamo chanya tena mpana katika kushirikishana maarifa, ujuzi na uzoefu wa maisha na teknolojia kwa ujumla wake. Karibuni sana !!!
Wednesday, February 15, 2012
Ma-Bwana-Mifugo wana kazi sana, inahitaji ujasiri kuwahudumia viumbe fulani fulani!
Hapa mtaalam wa wanyama Jim Duquesnelkamkamata "Iguana" aina ya mjusi wa jangwani na kando ya maji huko Bahia Honda State Park-Florida Marekani
No comments:
Post a Comment