Huyu mama bila shaka anasikitikia hali ilivyoanza kuwa mbaya sehemu hii mwanana |
Pamoja na mandhari ya kuvutia lakini Hali si shwari kama inavyojionesha... |
sehemu ya uzio nayo imeanza kumeguka. Hii huenda inasababishwa na watu kutumia njia ya mkato baada ya kukosekana pa kuingilia kwa upande huu |
Vibati vya uzinduzi wa bustani hii inasemekana vimeshafanywa chuma chakavu na wajuaji |
Huduma ya maji ya ziwa inapatikana kwa urahisi, hivyo wazee wa jiji la Mwanza shime itunzeni sehemu hii |
No comments:
Post a Comment