![]() |
Akina mama wakilia kuwaombolezea watoto wao waliofariki kati tukio hilo |
![]() |
Damu ikiwa imetapakaa katika viti |
![]() |
Mmoja wa majeruhi akisaidiwa |
![]() |
Msongamano mkubwa wa watu wakiwa katika treni, ilikua fujo mbaya sana katika historia ya nchi ya Misri kwenye mambo ya soka |
![]() |
Majeruhi akipelekwa hospitali baada ya kushushwa kwenye ndege |
No comments:
Post a Comment