Tuesday, February 7, 2012

Usipoamini shauri yako!

Hali ni mbaya sana. Vitu vimezingirwa na barafu hata havitambuliki uhalisi wake wala kutumika. Hapa ni kando ya ziwa Geneva huko Versoix Switzerland

No comments: