Mr. Isaac Kambira DMD-BUSE-UCC akijipongeza kwa chakula, "mwili haujengwi kwa mawe jamani" |
Mr. Isaac Kambira (kushoto) na Meneja wetu Florence Masebo(Mrs Lupenza) |
Hapa ni zoezi la kukagua kiwanja cha UCC kilichopo mbele ya uwanja wa ndege wa hapa Arusha (KIsongo), Mr. MlauleDJ, Mr. Isaac Kambira na Mrs Florence Masebo |
Ukaguzi wa kiwanja unaendelea |
Mipaka ya kiwanja ipo dhahiri kabisa |
Picha za kumbukumbu zikachukuliwa |
Mgeni wetu rasmi Profesa Rwekaza S. Mukandala VC-UDSM akiweka katika kumbukumbu vitu muhimu wakati wa majumuisho ya ziara yake |
Mr. Isaac Kambira na Mr. David Bashosho (kushoto) na kulia anaonekana Profesa wetu |
Kushoto ni Florence Masebo( Mrs Lupenza) meneja wa UCC Arusha na Mr. Isaac Kambira |
Kushoto ni Mr. Isdory ambaye ni Public Relations Officer wa University of Dar es Salaam-UDSM akifafanua jambo |
Hoja zikawekwa mezani na tafakari ikaanza |
Yalikuwepo mepesi yaliyojadiliwa lakini pia yalikuwepo mazito yanayohitaji ushiriki wa wengi kiutendaji, ona jinsi Profesa na Mr. Kambira walivyoshika vichwa kutafakari |
"Tukifanya hivi na kuleta mezani kwashirikisha wenzetu, mpango utafanikiwa" ndivyo anavyoonekana kana kwamba Mr. Kambira akimwambia hivyo Profesa |
Huyu ni Mr. Antious Gerazi akiwa uso kwa uso na Profesa wetu |
Tabasamu lilitawala, meno thelathina nje yote mbili... aaah nimekosea, MENO THELATHINA MBILI YOTE NJE |
Hatimaye picha ya pamoja ikipigwa Kushoto kwenda kulia ni Mr. Antious Gerazi, Mr. Juma Hanzuruni, Esther Kilimba (Mrs. Mbise),Mr. Isdory, Meneja wetu Florence Masebo(Mrs Lupenza), Mimi(Daudi Mlaule), Mgeni wetu rasmi Profesa Rwekaza S. Mukandala VC-UDSM, Mr. Isaac Kambira DMD-BUSE-UCC, na Mr. David Bashosho,
Mara baada picha za kumbukumbu tukaenda kupata mlo wa mchana(Lunch) hukoooo Tembo Club, nje kidogo ya jiji la Arusha. Hapa ni Shoprite |
Exim Bank kwa mbele, hii ni along Dodoma road. |
Uwanja wa ndege wa Kisongo ndio huo kushoto katika uzio |
Njia ya kurukia ndege katika Uwanja wa ndege wa Kisongo |
Meza ikaandaliwa |
Stori za hapa na pale zikaendelea |
Profesa akifafanua jambo |
Mandhari ya Arusha inavutia jamani, japo sio maeneo yote |
No comments:
Post a Comment