![]() |
Hapa zoezi likiendelea, nywele zinachanwa kwa mitindo tofauti kadri askari anavyohitaji, gharama yote ni kwa Serikali, Duuh! |
![]() |
Ona huyu akipigwa "Spray", full kunukia, full mvuto ati!! |
![]() |
Hapa akihakikishiwa kwamba style aliyowekewa ni nzuri, tabasamu lake linadhihirisha anakubaliana na style hio |
![]() |
Waangalie hawa wawili hapa mbele na yule wa nyuma kulia, wanavutia kwa kweli |
![]() |
Mbwa huyu anashangaa jinsi warembo walivyopendeza, ingawa amekodoa macho kwenye hivyo vimini, sijui amevutiwa na nini! |
![]() |
Hatimaye kazi imekamilika, wote napendeza na ukumbuke wamepambwa na WANAUME. Nimeamini kila MWANAMKE mwenye mafanikio nyuma yake kuna MWANAUME, ahhahaaaaaaa! |
No comments:
Post a Comment