![]() |
Waziri Ujenzi Mhe. Dkt. John Magufuli akifungua jiwe la msingi kuashiria Ujenzi wa Majengo mawili ya Ghorofa kumi kila moja Mkoani Arusha wikiendi iliyopita |
![]() |
Msanifu Majengo Mwandamizi wa TBA Arch. Deo Chubwa akitoa maelezo ya namna Maghorofa yatakavyokuwa pindi yakikamilika ujenzi wake mbele ya Waziri wa Ujenzi na Mkuu wa Mkoa wa Arusha. |
![]() |
Waziri wa Ujenzi Mh. Dr. John Magufuli akisalimiana na Meneja wa TBA Mkoa wa Arusha Eng. Dungamu. |
No comments:
Post a Comment