![]() |
| Wanaume wakinyanyua bendera ya kuongezea raha katika sherehe hiyo |
![]() |
| Askari Polisi wakiwa wamezuia barabara ili watu wasijazane huko Sakhi kulikofanyika sherehe hizo. Kiusalama uamuzi huu ni mzuri sana |
![]() |
| Mke na mume wameketi kilimani wakishudia sherehe hizo (Tazama mbele chini kwa mbali) hapa ni Karti-El-Shakhi mjini Kabul |
![]() |
| Kijana mdogo akionyesha madoido yake katika kucheza wakati wa sherehe hizo za mwaka mpya wa Kiajemi |





No comments:
Post a Comment