Monday, May 28, 2012

KANISA, GARI LA ASKOFU VYACHOMWA MOTO KATIKA VURUGU ZANZIBAR



Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) lililopo mtaa wa Kariakoo mjini Unguja limechomwa moto usiku wa kuamkia leo.


Gari la Kiongozi wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), Bishop Dickoson Kaganga lililochomwa moto usiku wa jana katika eneo la Kariakoo nje ya kanisa hilo.



Kikosi cha Kuzuia Ghasia (FFU), kikizunguka katika maeneo ya Michenzani kuimarisha ulinzi ambapo tayari jeshi la polisi limepiga marufuku mikusanyiko yoyote.

No comments: