Moshi mzito ukifuka kutoka katika magari yaliyolipuliwa na mabomu mawili mfululizo. Milipuko hio ilitokea katika eneo la makazi ya wati Al Kazaz mjini Damascuc nchini Syria jana Mei 10, 2012. |
Askari wawili wa Syria (kushoto) wakishirikana na raia wa nchi hio kubeba mwili wa mtu aliyeuawa na milipuko hio ya mabomu jana. |
Mbaya zaidi milipuko hio ilitokea eneo lenye makazi ya watu na pilika zilikua nyingi kwa watu kwenda kazini na wanafunzi shuleni. Uharibifu ni mkubwa. |
Ona miili ya watu imetapakaa huku wengine wakikimbia kunusuru maisha yao. |
No comments:
Post a Comment