Mdau mkubwa sana wa Bongo Movie Club Mama Loraa alifanya party ya nguvu ndani ya mjengo wake uliopo maeneo ya Mbezi Tang Bovu, Birthday hiyo ya Mama Loraa iliudhuriwa na mastaa kibao wa hapa Tanzania twende mwenyewe ukajionee
Davina na Wema wakiwa wamewasili katika sherehe hiyo
Wema na Cloud
Mahsein Hawazi (Dr.Cheni) akiwa amepiga suti matata sana umependeza kaka
Jack Wolper niliipenda sana hili vazi lake ni hatari sana aliniambia kanunua dola alfu mbili
Mwenyekiti wa Bongo Movie (JB) akiwa na Hatman Mbilinyi wa katikati na wa Wema Sepetu wakifuraia sherehe hiyo.
Mama Loraa mwenyewe ndiyo huyo hapo wa katikati mama ongera san kutimiza miaka kapuni hata mimi mwenyewe sijui
Mama Loraa akiwa kwenye red capet kwa ajili ya kuwakalibisha wageni waalikwa na kupiga nao picha.
Jenifer Kiyaka (Odama).
Shilole na Irene Uwoya.
Mc. Chiki Mchoma
Muda wa kufungua Shampeni ulifika Jb na Wema ndio waliotufungulia shampeni hizo
Mainda.
Muda wa keki nao ukafika
Mr na Mrs Loraa na Baby Madaha(wa kulia).
Zoezi la kulishana keki liliaza Mume wa Mama Loraa akimlisha keki mke wake
Mama Loraa
Uwoya na Wema wakiteta jambo.
Single Mtambalike.
Steve Mengele (The Power).
Tino wa kwanza akiwa na Juma Chikoka(wa kati) na Jimy Mafufu
Party ikiendelea.
The Greatest(Ray).
The Greatest nikiwa na Baadhi ya wanachama wenzangu wa Bongo Movie.
Msosi time Loraa alifungua njia ya kwenda kuchukua chakula
Shilole utamaliza msosi huo
Mtitu na mkewe mtarajiwa
JB na Dr.Cheni wakipata msosi wa nguvu hiki ni kipengele muhimu sana kwa ndugu yangu Jb
Baada ya matukio yote watu walikunywa,walicheza na kufurahi kwa pamoja.
No comments:
Post a Comment