Magari ya kivita/kijeshi yenye silaha yakiwa yameziba barabara nje ya Wizara ya ulinzi ili kuzuia waandamanaji wanaopinga utawala wa kijeshi mjini Cairo jana Aprili 4,2012 |
Waandamanaji wakijikinga kwa mabati katika fujo za urushianaji mawe. Mapambano makubwa yametokea jana ambapo mtu mmoja ameuawa na wengine wengi kujeruhiwa. |
No comments:
Post a Comment