Wednesday, May 30, 2012

Rais Kikwete ampokea Rais wa Ivory Coast Allasane Ouattara jijini Arusha kwa mkutano wa ADB.



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais wa Ivory Coast, Mh. Allasane Ouattara wakati akimpokea katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro jijini Arusha leo Jumatano May 30, 2012 alfajiri. Rais Ouattara ni mmoja wa wageni mashuhuri wataohudhuria mkutano wa afDB jijini Arusha ambao utafunguliwa rasmi na Rais Kikwete.





Hapa akipita katika busati jekundu (Red Carpet)


No comments: