Wednesday, August 29, 2012

HRM wa UCC yupo Arusha

Human Resource Manager wa UCC Mr. Obeid Mwangwa (kulia) akifafanua jambo kwa baadhi ya wanyakazi wa UCC Arusha kuhusu . SCHEME OF SERVICE and. PERFORMANCE APPRAISAL PROCEDURES. Kushoto ni Meneja wa Arusha Branch Mrs. Lupenza (Florence Masebo)

Ufafanuazi ukiendelea


Kushoto ni Emmanuel Samuel, mwenye miwani ni Juma Hanzuruni na nyuma yao ni Antious Gerazi

Kushoto ni Mrs. Mbise (Esther Kilimba) na kulia ni Hellen Vincent


Hii ilikuwa ni awamu ya kwanza saa 4 asb hadi saa 6 mchana. Taswira za awamu ya pili saa 8 alasiri hadi sa  10 jioni zitafuata ...ENDELEA KUTAZAMA BLOG YETU


AWAMU YA PILI SAA 8 ALASIRI HADI SAA 10 JIONI
HRM Mr. Mwangwa akirejea taarifa za maandishi wakati akifafanua jambo, kushoto ni Mr. Bashosho

Stephen Mishita-Academic Course Coordinator akisikiliza kwa makini sana

Margareth Kimario naye alikuwepo kikaoni, usidhani anasinzia, hapana; ila ni kutafakari mada

Mr. David Bashosho ( Tutor cum Instructor II; kulingana na muundo mpya wa nafasi/vyeo akisikiliza kwa makini. Hapa chini akionyeshwa kufurahishwa na jambo. Yeye ndiye aliyemalizia semina fupi kwa neno la SHUKRANI kwa mgeni wetu


No comments: