Zaidi ya tani tatu na nusu ya madawa ya kulevya aina ya bangi
yameteketezwa na jeshi la polisi mkoani Arusha katika kukamilisha
operesheni ya kupambana na uhalifu na madawa ya kulevya inayoendelea
mkoani hapa kwa mujibu wa mrakibu wa polisi na kaimu kamanda wa jeshi
hilo mkoani hapa Zuberi Mombeji alisema kuwa zoezi hilo ni endelevu na
kuwataka wananchi mkoani hapa kutoa ushirikiano katika kutokomeza
vitendo vya kihalifu.
|
This blog is for critical thinkers, people with open mind, ready to accept criticisms and work on them. Sharing the know-how, skills and experiences of Life and Technology at large. You are warmly welcome!! ---------------------------------------------------- Blogu hii ni kwa ajili ya wenye fikra makini wapendao kupokea na kufanyia kazi ukosoaji. Walio na mtazamo chanya tena mpana katika kushirikishana maarifa, ujuzi na uzoefu wa maisha na teknolojia kwa ujumla wake. Karibuni sana !!!
Thursday, August 23, 2012
ZAIDI YA TANI TATU NA NUSU ZA BANGI ZATEKETEZWA JIJINI ARUSHA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment