![]() |
| Wanafunzi wetu wa Tailor-Made course "Data Analysis and Production of Feedback Materials" wakijiandaa na mtihani wenye "Pass Mark" ya 70% na wanaofeli hawapati vyeti. |
![]() |
| Maandalizi yakiendelea |
![]() |
| Hapa sasa mtihani umeanza. Ni wa dakika 120 na ni vitendo tupu bila maneno. |
![]() |
| Dr. Ayuko Tanaka ambaye ni mmoja katika waandalizi wa kozi hii kutoka Shirika la misaada la Japan-JICA akiweka mambo sawa katika laptop yake. |
![]() |
| Waliokuwa hawajaelewa maswali, kama kawaida walieleweshwa |
![]() |
| Picha pia zikapigwa sana tu, kama unavyomuona Aska Hasegawa (mwenye fulana ya kijani kulia) akiendeleza zoezi hilo |










No comments:
Post a Comment