This blog is for critical thinkers, people with open mind, ready to accept criticisms and work on them. Sharing the know-how, skills and experiences of Life and Technology at large. You are warmly welcome!!
----------------------------------------------------
Blogu hii ni kwa ajili ya wenye fikra makini wapendao kupokea na kufanyia kazi ukosoaji. Walio na mtazamo chanya tena mpana katika kushirikishana maarifa, ujuzi na uzoefu wa maisha na teknolojia kwa ujumla wake. Karibuni sana !!!
Thursday, May 8, 2008
Mheshimiwa Zitto Kabwe akiwa Marekani
Mheshimiwa Zitto Kabwe alipata fursa ya kutembelea Kituo cha Masomo ya Afrika katika Chuo Kikuu cha Michigan State mjini East Lansing. Katika picha kushoto kwa Mheshimiwa Kabwe ni Profesa David Wiley, Mkurugenzi wa kituo hicho.
No comments:
Post a Comment