Tuesday, October 11, 2011

Harusi ya Esther Kilimba wa UCC-Arusha

Sasa hivi anaitwa Mrs. Kaanankira Mbise
Wakiingia


Mambo ya Champaigne hayo


Sasa maharusi wananyweshana!

Bibi harusi wetu akipeleka KEKI kwa wakwe zake!

Maharusi wakiwa na tabasamu lenye MATUMAINI MEMA kwa maisha yao ya NDOA!

Msimamizi wa kiume (Patron)

Msimamizi wa kike (Matron)-Alinogesha sana harusi kwa madoido yake!

Wafanyakazi wa UCC nao walikuwepo kumtia moyo mwenzao. Kushoto ni Emmanuel Samwel, kati ni David Bashosho na kulia ni mke wa David Bashosho aitwaye Dellya.

Hapa mimi (Daudi Mlaule) nimeongezeka kushoto, kulia kunabaki kama picha ya juu

Harusi ilifanyika katika bustani ya viumbe hai. Na ndege huyu alisogea hadi karibu kabisa na maharusi ili kuwapongeza!

Alikuwa kivutio kikubwa wa waliohudhuria!

Hapa ni zawadi kutoka UCC ikipelekwa kwa maharusi wetu!

1 comment:

magoti said...

Mlaule DJ
hiyo zawadi ni nini SWITCH?