Friday, February 10, 2012

50 Cent atembelea Somalia, ni ujasiri na upendo wa hali ya juu!

Muda mfupi uliopita rapper 50 CENT ametua nchini Somalia kutekeleza mpango wake wa STREET KING wa kuwalisha wenye njaa barani Afrika.

50 ameifanya hii ziara siku chache baada ya Umoja wa mataifa kutangaza kwamba njaa imekweisha nchini Somalia baada ya kupata mvua pamoja na misaada ya kibinadamu.

No comments: