Friday, February 10, 2012

Baridi ya ulaya yaleta ubunifu


Gari aina ya Volvo 240 Station Wagon likitoa moshi mwingi kutokana na kuni zinazoungua ndani. Hii ni mbinu inayotumika kukabiliana na baridi kali iliyopo ulaya kwa sasa. Hapa nchi ya Uswisi na kazi hii imefanywa na Pascal Prokop jana Alhamisi Februari 9, 2012. nimeamini shida huleta maarifa.
Angalia moto wenyewe unavyowaka ili kumpa joto dereva Pascal, kwa mtindo huu "baridi kwaheri"

No comments: