Friday, February 10, 2012

Kiwango kikubwa cha dawa za kulevya (Tani 15) chakamatwa Mexico

Askari akiwa amesimama mbele ya mapipa yenga unga wa dawa hizo za kulevya ndani ya machungio ya wanyama (Ranch) iitwayo Tlajomulco de Zuniga katika kitongoji cha Guadalajara jana alhamisi Februari 9, 2012. Kulingana na askari wa Mexico, tani hizo 15 za "Methamphetamine" ni nusu ya dawa zote zilizokamtwa mwaka 2009. Kuna nchi "Unga" ndio maisha yao ya kila siku


Askari huyu akilinda doria baada ya kuikamata  mitambo unayoiona kwa nyuma. Ni kiwanda kabisa aisee, jamaa wapo serious na kazi zao hata kama ni haramu na hatari kwa maisha wa wanadamu.

No comments: