Saturday, February 18, 2012

Basi la Abood lapata ajali maeneo ya Mbezi leo

Basi la kampuni ya Abood likiwa limepinduka maeneo ya Mbezi likiwa linatoka Mkoani Morogoro kuelekea Dar es salaam asubuhi ya leo.Chanzo cha ajali hii hakikujulikana ila inasemekana ni kutokana na dereve kuovertake gari mbele na hatimaye kumshinda na kupinduka

No comments: