Thursday, February 23, 2012

Hatimaye UCC Arusha tumefungiwa Video Conference System

Baada ya kufunga vifaa, mafunzo ya msingi kuhusu utumiaji yalianza na hayo ndio materials yenyewe.

Mkufunzi wetu Mr. Isaac Rodgers kutoka Emec Engineering Ltd akielekeza jinsi ya kuunganisha "CODEC" na vifaa vingine

Taswira ya baadhi ya wafanyakazi wa Arusha waliokuwepo darasani-TR 2, wakionekana katika mitambo hio-Kumradhi picha si nzuri sana!

Waliohudhuria mafunzo hayo mafupi ndio hawa. Mtaalam wetu Mr. Isaac Rodgers ametushauri kuboresha chumba hiki chenye mitambo kwa kuweka mwanga wa kutosha hapa ndani na kuzuia kabisa mwanga kutoka nje ya darasa. Hio itafanya taswira iwe bora zaidi ya hii unayoiona. Tumefundishika mambo mazuri sana tena ya kitaalam. Asante UCC!

No comments: