Friday, February 24, 2012

MATANGAZO YA TELEVISHENI KWA KUTUMIA TECHNOLOJIA YA ANALOGI SASA KUHAMIA KWENYE TEKNOLOJIA DIJITALI

Waziri wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia,Prof. Makame Mbarawa akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam (hawapo pichani) kuhusu usitishwaji wa matangazo ya Televisheni kwa kutumia Technolojia ya analogi na kuhamia teknolojia ya utangazaji ya dijitali ambao utasitishwa rasmi tarehe 31 Disemba mwaka 2012 saa sita kamili usiku. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dk. Frorens Turuka.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Dk. Frorens Turuka akijibu maswali ya waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu usitishwaji wa matangazo ya Televisheni kwa kutumia Technolojia ya analogia na kuhamia teknolojia ya utangazaji ya dijitali ambao utasitishwa rasmi tarehe 31 Disemba mwaka 2012 saa sita kamili usiku. Kushoto ni waziri wa wizara hiyo Prof. Makame Mbarawa

No comments: