Wednesday, February 29, 2012

Je unajua kwamba BABU WA SAMUNGE bado anaendelea na kazi? Ingawa watu wachache sana!

Mchungaji Ambilikile Masapila 'Babu kikombe' akiwa na mmoja wa wadau wake Mpigapicha wa Gazeti ya Changamoto, Albert Jackson, alipomtembelea katika ofisi zake zilizopo katika kijiji cha Semunge Loliondo. Hivi sasa babu yupo katika mchakato wa kujenga kituo kikubwa ambacho kitakuwa na uwezo wa kuhudumia wananchi wengi kwa wakati mmoja ili aanze tena awamu ya pili. Kwa maoni yako je watu wataenda kwa wingi kama ilivyokuwa awali?

1 comment:

mbonea said...

nafikiri haitakuwa kama mwanzoni