Wednesday, February 15, 2012

Kundi kubwa lafunga ndoa Valentine's Day


(Kushoto-kwenda-Kulia) Jonah Klemm-Toole akimbusu mkewe, Elena Pizano, Kenny Dornhoefer akimbusu mkewe, Jaya Ganaishalm and Manuel Fuentes akimbusu mkewe, Monika Juarbe mara baada ya kufunga ndoa ya pamoja jana katika siku wa wapendanao "Valentine's Day" huko National Croquet Center on Feb. 14,  West Palm Beach, Florida-Marekani. Takriban ndoa 30 zilifungwa.
Baadhi ya picha zinazothibitisha ufungwaji wa ndoa hizo za pamoja

Kenny Dornhoefer (Kushoto) akimpapasa shavuni kwa upendo mke wake Jaya Ganaishalm mara baada ya kuoana katika ndoa za pamoja katika siku ya Valentine jana

No comments: