Wednesday, February 15, 2012

Bado baridi inawatesa Ulaya

Futi 15 zinachimbwa chini ili kuifikia barabara, ona jinsi nguzo za umeme zilivyokaribia kufunikwa kabisa. Watu wa Dar es Salaam mnaoteswa na joto tuwapeleke huku mkapunge upepo? ahahaaaaaaa! Hapa ni Romania

Ona jinsi seng'enge ilizivyozingirwa na barafu. Yaani hapa mwizi anapenya bila kikwazo maaana miba za chuma hazichomi tena

Katapila likijaribu kupunguza barafu ili angalau njia ionekane

No comments: