Wednesday, February 8, 2012

Silaha kibao zakamatwa Jamaica

Furushi kubwa la bastola na silaha nyingine kibao zikionyeshwa jana Februari 7, 2012 huko Kingston Jamaica. Karibu silaha 2,000 zimekamatwa na kupelekwa kwenye kiwanda ili kuyeyushwa na kutengenezwa vitu vingine, tena chini ya uangalizi wa Umoja wa Mataifa.

Bastola kama sokoni, hatari sana zikiingia mikononi mwa wahalifu.

No comments: