Saturday, February 4, 2012

Sio kweli kwamba binadamu tulitokana na Nyani, nasema sio kweli!

Mungu aliumba kila kitu/kiumbe kwa AINA YAKE. Hakuumba kitu/kiumbe fulani eti kibadilike kuwa kingine. Kiwavi anabadilika kuwa kipepeo kwa sababu ndio Life Cycle yake. Kamwe Nyani/Sokwe mtu hawezi kuwa binadamu. Sayansi haiwezi kuyatafsiri mambo fulani ya MUNGU!

No comments: