Saturday, February 4, 2012

"Tunamuunga mkono Mitt Romney!" ndivyo wanasema hawa kupitia mavazi yao.

Wanafamilia ya Fisher wakionyesha kumuunga mkono mgombea wa urais wa Marekani kupitia chama cha Republican Mitt Romney katika harakati za kampeni za ndani ya chama. Hayo yalifanyika huko Al Aero Inc katika uwanja wa ndege wa mji huo jana Ijumaa Februari 3, 2012. Atakaeshinda kwenye chama chao ndio atapambana na Rais wa sasa Barack Obama.

No comments: