Saturday, February 4, 2012

Unapojiita "Kinyonga" unamjua alivyo na tabia zake?

Mwanamuziki wa Uganda aitwaye Joseph Mayanja anajiita "Kinyonga" yaani Chameleone kwa kiingereza, Hapo juu ndio taswira ya Kinyonga, kwa wengi sio mnyama anaependeza kumuangalia kama alivyo Ngedere. Kubadilikabadilika rangi yake hufanya iwe ngumu kumtambua kama yupo eneo hilo. Hapa Tanzania mwanamuziki Q-Chilla anapenda kubadilikabadilika kama Kinyonga.

No comments: