Saturday, February 4, 2012

Hata Marekani "Viduku vya Kike" vipo

Shabiki wa "Football" mwanamama Mary Steinkraus kutoka Wisconsin akitembea mitaa ya  Super Bowl XLVI NFL  Experience nje ya Indiana Convention Centre jana Ijumaa Februari 3, 2012 huko Indianapolis. Timu ya New England Patriot itapambana na New York Giants katika mashindano ya Super Bowl XLVI kesho Jumapili Februari 5, 2012 katika uga wa Lucas Oil. Angalia kiduku alichonyoa na jinsi alivyopaka rangi, kweli kuna watu hamnazo.

No comments: