![]() |
| Hapa wakiingia kwenye kibasi japo waende eneo lenye usalama huku askari wa jeshi alieasi (Syrian Free Army) akiwapa ulinzi |
![]() |
| Hivi ndio vifaru vyenyewe vikiwa tayari kuangamiza mali na kila mtu wanaeamini yupo kinyume na msimamo wa Rais Bashar Al-Asad |
![]() |
| Ona jinsi ambavyo watoto wanalia na wazazi (wa kike) wakiwa wamekata tamaa. Kweli fujo au vita ikitokea wanaoteseka ni AKINA MAMA NA WATOTO. |
![]() |
| Pilika za kukimbia mashambulizi. Enyi nchi zenye amani endeleeni kumshukuru Mungu kwa amani mliyonayo. |





No comments:
Post a Comment