Friday, February 10, 2012

WASIO NA MAKAZI BRAZIL WAVAMIA NYUMBA TUPU

Wavamizi hao wakitazama kutoka juu ya jengo walilolivamia wakati zoezi la kuwahamisha likiendelea mjini Sao Paulo huko Brazil

Mama mjamzito akihamishwa toka nyumba wasizotakiwa kuishi, wengi wao walivamia nyumba zilizokimbiwa na watu ili kujihifadhi lakini huko nako serikali ikawafukuza

Mama huyu akimnyonyesha mwanae katika makazi ya nuda waliyojihifadhi, mji wa Sao Paulo ulifanyiwa zoezi hilo ili kuuweka katika mazingira ya usafi na unadhifu

Kijana alieathiriwa na zoezi hilo akiwa amelala kwa uchovu nje ya jengo mojawapo

No comments: